Our Services
Explore our loan products tailored for your needs.
Mkopo wa Mjasiliamali
- Kitambulisho: Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Mpiga Kura, Pasipoti ya kusafiria au Leseni.
- Pasipoti: Angalau picha tatu (3) za mkopaji, mwenza wake na mdhamini.
- Biashara: Mkopaji lazima awe na biashara inayotambulika kisheria na yenye leseni hai.
- Eneo la Biashara: Biashara lazima iwe na eneo rasmi na linalofikika kwa ajili ya ukaguzi.
- Dhamana: Kuwa na dhamana inayohamishika (mfano: vyombo vya usafiri au vifaa vya nyumbani).
- Mdhamini: Angalau mdhamini mmoja mwaminifu anayetambulika na Serikali ya Mtaa.
- Makazi: Angalau mkopaji au mdhamini awe na makazi ya kudumu na kuishi ndani ya makazi yake.
Mkopo wa Dharura pamoja
- Kitambulisho: Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Mpiga Kura, Pasipoti ya kusafiria au Leseni.
- Pasipoti: Angalau picha moja (1) ya mkopaji.
- Dhamana: Kuwa na dhamana inayohamishika yenye thamani marambili ya kiasi unachochukua (mfano: vyombo vya usafiri au vifaa vya nyumbani).
- Muda wa Marejesho: Mikopo hii ni ya muda mfupi (mwezi mmoja).
Mkopo wa watumishi
- Kitambulisho: Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Mpiga Kura, Pasipoti ya kusafiria au Leseni pamoja na kitambulisho cha kazi.
- Hati ya Mshahara (Payslip/Salary slip): Hati za mshahara za miezi mitatu (3) ya hivi karibuni.
- Taarifa ya Benki: Inaonyesha mshahara wa mwezi wa mtumishi kwa miezi mitatu (3) ya hivi karibuni.
- Mkataba wa Kazi: Mwombaji lazima awe mwajiriwa wa kudumu au mwenye mkataba wa muda mrefu unaozidi muda wa mkopo.
- Pasipoti: Angalau picha tatu (3) za mkopaji, mwenza wake na mdhamini.
- Mdhamini: Angalau mdhamini mmoja mwaminifu anayetambulika na Serikali ya Mtaa.
- Makazi: Angalau mkopaji au mdhamini awe na makazi ya kudumu na kuishi ndani ya makazi yake.
Branch Contacts
Wasiliana na RCO wetu kulingana na tawi lililo karibu na wewe.
Tawi
Jina la RCO
Simu Namba