Kuhusu Sisi

Kuhusu Taasisi

Macem Maisha Business ni taasisi ya fedha ndogo inayotoa huduma za kifedha kwa wajasiriamali Tanzania.

Dira

Kuwa taasisi inayoongoza katika utoaji wa mikopo.

Dhamira

Kutoa huduma bora za kifedha.

Huduma Zetu

  • Mikopo ya Wajasiriamali
  • Mikopo ya Dharura
  • Mikopo ya Watumishi

Historia

Macem Maisha Business of Finance Services Limited ilianzishwa mwaka 2019 kama kampuni binafsi ya dhima yenye hisa nchini Tanzania. Kampuni inalenga kutoa huduma za kifedha kwa wajasiriamali wadogo na wa kati ili kusaidia ukuaji wa biashara zao. Ilianzishwa na wanahisa wawili, Bw. Marco Mabula Castory na Ezekiel Msumeno Mapesa.
Macem Maisha Business of Finance Services Limited ilipata usajili tarehe 22 Aprili 2021 na kupata leseni ya kutoa huduma za fedha ndogo (Kundi la 2 – wasiochukua amana) iliyotolewa tarehe 22 Novemba 2022 kwa mujibu wa Sheria ya Fedha Ndogo ya mwaka 2018. Pia ni mlipa kodi aliyesajiliwa na TIN 138-951-987 tangu tarehe 17 Aprili 2019.

Timu Yetu

  • Marco M. Castory

    Mkurugenzi

    +255 754249472

  • Dioniz Paul

    Human Resource Officer

    +255 753578769

  • Elly Kinasha

    Branch Manager (Geita)

    +255 755033882

  • Benitha Kalekezi

    Branch Manager (Kakola)

    +255 743338368

  • Jeremiah C. Mgasa BM-katoro

    Branch Manager (Katoro)

    +255 754249472

  • Allen K. Mujeahuzi

    Branch Manager (Kirumba)

    +255 766534282

  • Maxwel T. Makanya

    Branch Manager (Buhongwa)

    +255 768790473

  • Julietu Y. Manyama

    RCO Geita

    +255 764644966